Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi TAFICO 08 Aprili 2025
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe akizindua mtambo wa kuzalisha barafu za tofali (block ice) wa Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), tarehe 07 Machi 2025, Makao Makuu ya TAFICO, Ras Mkwavi, Kigamboni Dar es Salaam.
Makao Makuu ya TAFICO yaliyopo Ras Mkwavi, Kigamboni Dar es Salaam
Jodari (Yellowfin tuna): moja ya aina ya samaki ambazo TAFICO inalenga kuvua kutoka maji marefu ya bahari, kuchakata, kuuza na kuongeza mnyororo wa thamani