Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO)

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

TAFICO kupitia utekelezaji wa miradi yake linatarajiwa kuuza huduma na bidhaa zifuatazo Kuuza Samaki ndani na nje ya nchi.  kuuza barafu za aina mbalimbali Kutoa huduma ya kuhifadhi Samaki kwenye maghala ya ubaridi. Kutoa huduma ya uchakataji wa mazao ya uvuvi kwenye viwanda vyake....
Katika kuvutia uwekezaji wa serikali na sekta binafsi  Mpango wa Biashara (Business Plan) wa Miaka 10 umeandalia,mpango huu umeainisha miradi ya kimkakati kwa ajili ya kuongeza tija katika uvuvi wa Bahari kuu na mnyororo wa thamani wa mazao ya uvuvi . Miradi hii itekelezwa kwa kushirikiana na&n...
Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) ni Shirika la Umma linalosimamiwa na Bodi ya Wakurugenzi katikakutekeleza majukumu yake kama ilivyoainishwa chini ya kifungu cha 9 cha Sheria ya Shirika ya Umma Sura namba 257 ya Mwaka 1969 na aya ya 6 ya Hati ya uanzishwaji wa TAFICO ya mwaka 1974. Shirika linatek...
Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) taasisi ya Umma iliyoanzishwa  mwaka 1974 chini ya Sheria ya Mashirika  ya Umma Na. 17 ya mwaka 1969. TAFICO inajukumu la kuendeleza sekta ya uvuvi nchini kupitia uwekezaji katika  miradi mbalimbali inayolenga kuongeza tija hasa katika uvuvi wa Bahar...