Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO)

Bodi ya Wakurugenzi

Bodi ya Wakurugenzi ni chombo kinacho simamia Shughuli za Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) kama ilivyoainishwa chini ya kifungu cha 9 cha Sheria ya Shirika ya Umma Sura namba 257 ya Mwaka 1969 na aya ya 6 ya Hati ya uanzishwaji wa TAFICO ya mwaka 1974. Bodi hii ina wajumbe wajumbe kumi (10) kama ifuataavyo