Je TAFICO inaendeshwaje?
Je TAFICO inaendeshwaje?
Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) ni Shirika la Umma linalosimamiwa na Bodi ya Wakurugenzi katikakutekeleza majukumu yake kama ilivyoainishwa chini ya kifungu cha 9 cha Sheria ya Shirika ya Umma Sura namba 257 ya Mwaka 1969 na aya ya 6 ya Hati ya uanzishwaji wa TAFICO ya mwaka 1974. Shirika linatekeleza majukumu yake kwa ubi ana sekta binafsi kupitia mpango wa PPP na Joint venture. Aidha, shikila linaweza kushitaki na kushtakiwa.