Karibu
Karibu
Dkt. Suleiman P. Kiula, ndc
Afisa Mtendaji Mkuu
Ninayofuraha kukukaribisha katika tovuti ya Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO). Tovuti hii ni jukwaa letu la kidijitali kwa ajili ya kukushirikisha dira, dhamira na maadili yetu. Kupitia tovuti hii, tunalenga kukupa taarifa za kina kuhusu bidhaa, huduma, na fursa za uwekezaji zilizopo.