ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA,BIASHARA,KILIMO NA MIFUGO
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo wakiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mheshimiwa Deodatus Mwanyika walipotembelea ofisi za TAFICO kujionea shughuli mbalimbali na miradi ya shirika inavyoendelea.