TAFICO, JESHI LA WANAMAJI KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA UVUVI WA BAHARI KUU
Ziara ya kikazi ya Afisa Mtendaji Mkuu wa TAFICO, Dkt. Suleiman Kiula, ndc (T), katika Makao Makuu ya Kamandi ya Jeshi la Wanamaji, Kigamboni, Dar es Salaam, Septemba 23, 2026,