Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO)

WAZIRI ULEGA AKABIDHI BOTI KWA WAVUVI DAR NA PWANI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega akikabidhi boti 11 kwa wavuvi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani, katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Novemba 28, 2023.